-
Kiswahili Learner’s Book 1
UGX 21,000Kitabu hiki cha Kiswahili cha Longhorn ni kitabu cha mwanafunzi wa kidato cha Kwanza. Ni kitabu kipya cha mafunzo kwa mwanafunzi na kimeidhinishwa na wizara ya elimu na michezo ili kutumiwa katika shule za sekondari nchini Uganda. Kitabu hiki kinatimiza malengo yote ya mtaala mpya wa Kiswahili wa daraja la chini katika shule za sekondari nchini Uganda, mtaala ambao mwanafunzi anastahili kufuata katika utekelezaji mwafaka wa mafunzo yaliyomo.
Kitabu hiki ni cha kipekee kwa kuwa kinamshurutisha mwanafunzi kutekeleza mafunzo yote yaliyomo kitabuni kwa kutumia mbinu zote zinazohitajika kwa mwanafunzi kujifunza. Mbinu zilizomo kitabuni zinashirikisha wanafunzi wote kujifunza Kiswahili kupitia; mada zilizopangwa vizuri na kwa utaratibu kuhusu hali ya mpito kutoka kwa dhana moja hadi nyingine, kazi angavu iliyofungamanishwa na michoro kuongeza ufahamu zaidi, shughuli kadhaa za kiudadisi ndani na nje ya darasa, majaribio na ufafanuzi wa kutumia nyenzo za kawaida zipatikanazo katika mazingira ya mwanafunzi, shughuli jumlishi za kufanywa mwishoni mwa mwa kila mada kuu, na uchoraji wa mazingira rahisi ya mwanafunzi yanayomwezesha kuelewa dhana kwa urahisi.
Kitabu cha sekondari cha Longhorn, kitabu cha mwanafunzi, kidato cha tatu, kimeandikwa kwa utondoti kwa kuzingatia mahitaji yote ya silabasi ya kidato cha tatu. Wandishi wa kitabu hiki ni walimu wenye tajriba pana ya ufundishaji wa lugha ya Kiswahili darasani. Wamefundisha Kiswahili kwa ngazi tofauti za elimu nchini Uganda kama vile; shule za sekondari, vyuo vya walimu wa shule msingi na za sekondari, vyuo vikuu kwa miaka mingi. Mwanafunzi atakayekisoma kwa makini na kufuata maagizo yaliyomo atajifunza Kiswahili kwa urahisi na kupata umilisi ulionuiwa.
-
Kiswahili Learner’s Book 3
UGX 20,000Kitabu hiki cha Kiswahili cha Longhorn ni kitabu cha mwanafunzi wa kidato cha tatu. Ni kitabu kipya cha mafunzo kwa mwanafunzi na kimeidhinishwa na wizara ya elimu na michezo ili kutumiwa katika shule za sekondari nchini Uganda. Kitabu hiki kinatimiza malengo yote ya mtaala mpya wa Kiswahili wa daraja la chini katika shule za sekondari nchini Uganda, mtaala ambao mwanafunzi anastahili kufuata katika utekelezaji mwafaka wa mafunzo yaliyomo.
Kitabu hiki ni cha kipekee kwa kuwa kinamshurutisha mwanafunzi kutekeleza mafunzo yote yaliyomo kitabuni kwa kutumia mbinu zote zinazohitajika kwa mwanafunzi kujifunza. Mbinu zilizomo kitabuni zinashirikisha wanafunzi wote kujifunza Kiswahili kupitia; mada zilizopangwa vizuri na kwa utaratibu kuhusu hali ya mpito kutoka kwa dhana moja hadi nyingine, kazi angavu iliyofungamanishwa na michoro kuongeza ufahamu zaidi, shughuli kadhaa za kiudadisi ndani na nje ya darasa, majaribio na ufafanuzi wa kutumia nyenzo za kawaida zipatikanazo katika mazingira ya mwanafunzi, shughuli jumlishi za kufanywa mwishoni mwa mwa kila mada kuu, na uchoraji wa mazingira rahisi ya mwanafunzi yanayomwezesha kuelewa dhana kwa urahisi.
Kitabu cha sekondari cha Longhorn, kitabu cha mwanafunzi, kidato cha tatu, kimeandikwa kwa utondoti kwa kuzingatia mahitaji yote ya silabasi ya kidato cha tatu. Wandishi wa kitabu hiki ni walimu wenye tajriba pana ya ufundishaji wa lugha ya Kiswahili darasani. Wamefundisha Kiswahili kwa ngazi tofauti za elimu nchini Uganda kama vile; shule za sekondari, vyuo vya walimu wa shule msingi na za sekondari, vyuo vikuu kwa miaka mingi. Mwanafunzi atakayekisoma kwa makini na kufuata maagizo yaliyomo atajifunza Kiswahili kwa urahisi na kupata umilisi ulionuiwa.
-
Kiswahili Learner’s Book 4
UGX 20,000Kitabu hiki cha Longhorn ni kitabu cha Kiswahili kwa mwanafunzi wa kidato cha nne. Ni kitabu kipya cha shule za sekondari chenye mafunzo mwafaka ya mwanafunzi na kimeidhinishwa na wizara ya elimu na michezo ili kutumiwa katika shule za sekondari nchini Uganda. Kitabu hiki kinatimiza malengo yote ya mtaala mpya wa Kiswahili wa daraja la chini katika shule za sekondari nchini Uganda, mtaala ambao mwanafunzi anastahili kufuata katika utekelezaji mwafaka wa mafunzo yaliyomo.
Kitabu hiki ni cha kipekee kwa kuwa kinamshurutisha mwanafunzi kutekeleza mafunzo yote yaliyomo kitabuni kwa kutumia mbinu zote zinazohitajika kwa mwanafunzi kujifunza. Mbinu zilizomo kitabuni zinashirikisha wanafunzi wote kujifunza Kiswahili kupitia; mada zilizopangwa vizuri na kwa utaratibu kuhusu hali ya mpito kutoka kwa dhana moja hadi nyingine, kazi angavu iliyofungamanishwa na michoro kuongeza ufahamu zaidi, shughuli kadhaa za kiudadisi ndani na nje ya darasa, majaribio na ufafanuzi wa kutumia nyenzo za kawaida zipatikanazo katika mazingira ya mwanafunzi, shughuli jumlishi za kufanywa mwishoni mwa mwa kila mada kuu, na uchoraji wa mazingira rahisi ya mwanafunzi yanayomwezesha kuelewa dhana kwa urahisi.
Kitabu cha sekondari cha Longhorn, kitabu cha mwanafunzi, kidato cha nne, kimeandikwa kwa utondoti kwa kuzingatia mahitaji yote ya silabasi ya kidato cha nne. Wandishi wa kitabu hiki ni walimu wenye tajriba pana ya ufundishaji wa lugha ya Kiswahili darasani. Wamefundisha Kiswahili kwa ngazi tofauti za elimu nchini Uganda kama vile; shule za sekondari, vyuo vya walimu wa shule msingi na za sekondari, vyuo vikuu kwa miaka mingi. Mwanafunzi atakayekisoma kwa makini na kufuata maagizo yaliyomo atajifunza Kiswahili kwa urahisi na kupata umilisi ulionuiwa.
-
Kiswahili Teacher’s Guide
UGX 35,000Kiswahili Teacher’s Guide 3
Kitabu hiki cha Kiswahili cha Longhorn ni mwongozo wa mwalimu wa kidato cha tatu. Kitabu hiki cha mwongozo kimeandaliwa kama mkakati mpya wa kumwongoza mwalimu anapoelekeza wanafunzi katika masomo. Kitabu hiki kilipendekezwa na kukubaliwa na wizara ya elimu na michezo kwa matumizi katika shule za sekondari nchini Uganda ili kumwongoza mwalimu katika ufundishaji. Kinakidhi malengo na mahitaji yote ya mtaala mpya wa Kiswahili kwa shule za sekondari nchini Uganda. Kwa hiyo, mwalimu anafaa kukifuatilia kama mwongozo mwafaka wakati wa kutekeleza ufundishaji wa Kiswahili katika kidato cha tatu.
Mwongozo huu wa Kiswahili wa Longhorn kwa mwalimu wa kidato cha tatu una ufumbuzi wa kipekee kwa vile unamsaidia mwalimu kutekeleza na kuendeleza mfululizo wa mafunzo ya Kiswahili kwa matumizi ya mbinu zinazohusisha wanafunzi kushiriki kikamilifu katika mafunzo yanayotolewa darasani ipasavyo kwa: mafunzo yaliyopangwa kiutaratibu kuhusu dhana zinazohusika, maelezo mwafaka ya matini zilizounganishwa vyema kwa uelewa wa wanafunzi, shughuli kadha wa kadha za kufanywa ndani na nje ya darasa kuwasaidia wanafunzi kuwa na ari ya udadisi, matumizi ya vifaa vya kawaida vinavyojulikana kwa wanafunzi katika mazingira yao, mazoezi mwafaka yanayoandamana na mafunzo na shughuli jumlishi mwishoni mwa mada kuu husika pamoja na mkakati mwafaka wa kirafiki unaolenga wanafunzi kuwa washiriki katika mchakato wa kujifunza.
Longhorn imeandaa mwongozo huu wa mwalimu wa kidato cha tatu ili kumwezesha mwalimu kukuza umilisi wa wanafunzi wa kuelewa dhana madhubuti, kudadisi na kupata maarifa, na mahitaji yote ya mtaala mpya ili kuwe na matokeo bora ya silabasi ya Kiswahili kwa kidato cha tatu.
Wandishi wa kitabu hiki cha mwongozo wa mwalimu ni walimu hodari wa Kiswahili ambao wamefundisha Kiswahili darasani kwa miaka mingi. Uzoefu wao umechangia sana katika usanifu wa mwongozo huu wa kuridhisha.