General Science, Learner’s Book senior 4
May 4, 2023
Longhorn Secondary Physical Education, Learner’s Book senior 4
May 5, 2023Kiswahili Learner’s Book 4
UGX 20,000
Kitabu hiki cha Longhorn ni kitabu cha Kiswahili kwa mwanafunzi wa kidato cha nne. Ni kitabu kipya cha shule za sekondari chenye mafunzo mwafaka ya mwanafunzi na kimeidhinishwa na wizara ya elimu na michezo ili kutumiwa katika shule za sekondari nchini Uganda. Kitabu hiki kinatimiza malengo yote ya mtaala mpya wa Kiswahili wa daraja la chini katika shule za sekondari nchini Uganda, mtaala ambao mwanafunzi anastahili kufuata katika utekelezaji mwafaka wa mafunzo yaliyomo.
Kitabu hiki ni cha kipekee kwa kuwa kinamshurutisha mwanafunzi kutekeleza mafunzo yote yaliyomo kitabuni kwa kutumia mbinu zote zinazohitajika kwa mwanafunzi kujifunza. Mbinu zilizomo kitabuni zinashirikisha wanafunzi wote kujifunza Kiswahili kupitia; mada zilizopangwa vizuri na kwa utaratibu kuhusu hali ya mpito kutoka kwa dhana moja hadi nyingine, kazi angavu iliyofungamanishwa na michoro kuongeza ufahamu zaidi, shughuli kadhaa za kiudadisi ndani na nje ya darasa, majaribio na ufafanuzi wa kutumia nyenzo za kawaida zipatikanazo katika mazingira ya mwanafunzi, shughuli jumlishi za kufanywa mwishoni mwa mwa kila mada kuu, na uchoraji wa mazingira rahisi ya mwanafunzi yanayomwezesha kuelewa dhana kwa urahisi.
Kitabu cha sekondari cha Longhorn, kitabu cha mwanafunzi, kidato cha nne, kimeandikwa kwa utondoti kwa kuzingatia mahitaji yote ya silabasi ya kidato cha nne. Wandishi wa kitabu hiki ni walimu wenye tajriba pana ya ufundishaji wa lugha ya Kiswahili darasani. Wamefundisha Kiswahili kwa ngazi tofauti za elimu nchini Uganda kama vile; shule za sekondari, vyuo vya walimu wa shule msingi na za sekondari, vyuo vikuu kwa miaka mingi. Mwanafunzi atakayekisoma kwa makini na kufuata maagizo yaliyomo atajifunza Kiswahili kwa urahisi na kupata umilisi ulionuiwa.

Related products
-
Longhorn Secondary Nutrition and Food Technology, Learner’s Book senior 4
UGX 18,000Longhorn Secondary Nutrition and Food Technology, Learner’s Book senior 4, is a new course Learner-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary Nutrition and Food Technology Curriculum in Uganda, which the learner must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary Nutrition and Food Technology, Learner’s Book senior 4, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the learners, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning Nutrition and Food Technology through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- Nutrition and Food Technology -related games which make learning Nutrition and Food Technology interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary Nutrition and Food Technology, Learner’s Book Senior 4, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 4 Nutrition and Food Technology syllabus. The authors are experts in Nutrition and Food Technology, and are classroom teachers, who have taught Nutrition and Food Technology for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
-
Longhorn Secondary Art and Design, Learner’s Book senior 4
UGX 20,000Longhorn Secondary Art and Design, Learner’s Book senior 4, is a new course Learner-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary Art and Design Curriculum in Uganda, which the learner must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary Art and Design, Learner’s Book senior 4, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the learners, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning Art and Design through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- Art and Design -related games which make learning Art and Design interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary Art and Design, Learner’s Book Senior 4, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 4 Art and Design syllabus. The authors are experts in Art and Design, and are classroom teachers, who have taught Art and Design for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
-
Longhorn Secondary Physical Education, Learner’s Book senior 4
UGX 28,000Longhorn Secondary Physical Education, Learner’s Book senior 4, is a new course Learner-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary Physical Education Curriculum in Uganda, which the learner must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary Physical Education, Learner’s Book senior 4, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the learners, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning Physical Education through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- Physical Education -related games which make learning Physical Education interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary Physical Education, Learner’s Book Senior 4, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 4 Physical Education syllabus. The authors are experts in Physical Education, and are classroom teachers, who have taught Physical Education for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
-
Longhorn Secondary Christian Religious Education, Learner’s Book senior 4
UGX 20,000Longhorn Secondary Christian Religious Education, Learner’s Book senior 4, is a new course Learner-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary Christian Religious Education Curriculum in Uganda, which the learner must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary Christian Religious Education, Learner’s Book senior 4, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the learners, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning Christian Religious Education through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- Christian Religious Education -related games which make learning Christian Religious Education interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary Christian Religious Education, Learner’s Book Senior 4, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 4 Christian Religious Education syllabus. The authors are experts in Christian Religious Education, and are classroom teachers, who have taught Christian Religious Education for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
-
LONGHORN Integrated Science Revision Pupils’ Book 4
LONGHORN Integrated Science Pupils’ Book 4
Author : W. MpumudeUGX 23,000Original price was: UGX 23,000.UGX 15,000Current price is: UGX 15,000.
Reviews
There are no reviews yet.