Islamic Religious Education, Learner’s Book senior 3
May 1, 2023
Mathematics, Learner’s Book senior 3
May 1, 2023Kiswahili Learner’s Book 3
UGX 20,000
Kitabu hiki cha Kiswahili cha Longhorn ni kitabu cha mwanafunzi wa kidato cha tatu. Ni kitabu kipya cha mafunzo kwa mwanafunzi na kimeidhinishwa na wizara ya elimu na michezo ili kutumiwa katika shule za sekondari nchini Uganda. Kitabu hiki kinatimiza malengo yote ya mtaala mpya wa Kiswahili wa daraja la chini katika shule za sekondari nchini Uganda, mtaala ambao mwanafunzi anastahili kufuata katika utekelezaji mwafaka wa mafunzo yaliyomo.
Kitabu hiki ni cha kipekee kwa kuwa kinamshurutisha mwanafunzi kutekeleza mafunzo yote yaliyomo kitabuni kwa kutumia mbinu zote zinazohitajika kwa mwanafunzi kujifunza. Mbinu zilizomo kitabuni zinashirikisha wanafunzi wote kujifunza Kiswahili kupitia; mada zilizopangwa vizuri na kwa utaratibu kuhusu hali ya mpito kutoka kwa dhana moja hadi nyingine, kazi angavu iliyofungamanishwa na michoro kuongeza ufahamu zaidi, shughuli kadhaa za kiudadisi ndani na nje ya darasa, majaribio na ufafanuzi wa kutumia nyenzo za kawaida zipatikanazo katika mazingira ya mwanafunzi, shughuli jumlishi za kufanywa mwishoni mwa mwa kila mada kuu, na uchoraji wa mazingira rahisi ya mwanafunzi yanayomwezesha kuelewa dhana kwa urahisi.
Kitabu cha sekondari cha Longhorn, kitabu cha mwanafunzi, kidato cha tatu, kimeandikwa kwa utondoti kwa kuzingatia mahitaji yote ya silabasi ya kidato cha tatu. Wandishi wa kitabu hiki ni walimu wenye tajriba pana ya ufundishaji wa lugha ya Kiswahili darasani. Wamefundisha Kiswahili kwa ngazi tofauti za elimu nchini Uganda kama vile; shule za sekondari, vyuo vya walimu wa shule msingi na za sekondari, vyuo vikuu kwa miaka mingi. Mwanafunzi atakayekisoma kwa makini na kufuata maagizo yaliyomo atajifunza Kiswahili kwa urahisi na kupata umilisi ulionuiwa.

Related products
-
Longhorn Secondary Agriculture, Teacher’s Guide senior 3
UGX 30,000Longhorn Secondary Agriculture, Teacher’s Guide senior 3, is a new course teacher-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary Agriculture Curriculum in Uganda, which the teacher must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary Agriculture, Teacher’s Guide senior 3, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the teachers, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning Agriculture through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- Agriculture -related games which make learning Agriculture interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary Agriculture, Teacher’s Guide Senior 3, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 3 Agriculture syllabus. The authors are experts in Agriculture, and are classroom teachers, who have taught Agriculture for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
-
Mathematics, Learner’s Book senior 3
UGX 25,000Longhorn Secondary Mathematics, Learner’s Book senior 3, is a new course Learner-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary Mathematics Curriculum in Uganda, which the learner must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary Mathematics, Learner’s Book senior 3, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the learners, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning Mathematics through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- Mathematics -related games which make learning Mathematics interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary Mathematics, Learner’s Book Senior 3, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 3 Mathematics syllabus. The authors are experts in Mathematics, and are classroom teachers, who have taught Mathematics for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
-
Longhorn Secondary Christian Religious Education, Teacher’s Guide senior 3
UGX 30,000Longhorn Secondary Christian Religious Education, Teacher’s Guide senior 3, is a new course teacher-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary Christian Religious Education Curriculum in Uganda, which the teacher must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary Christian Religious Education, Teacher’s Guide senior 3, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the teachers, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning Christian Religious Education through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- Christian Religious Education -related games which make learning Christian Religious Education interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary Christian Religious Education, Teacher’s Guide Senior 3, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 3 Christian Religious Education syllabus. The authors are experts in Christian Religious Education, and are classroom teachers, who have taught Christian Religious Education for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
-
History and Political Education, Learner’s Book senior 3
Longhorn Secondary History and Political Education, Learner’s Book senior 3, is a new course Learner-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary History and Political Education Curriculum in Uganda, which the learner must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary History and Political Education, Learner’s Book senior 3, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the learners, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning History and Political Education through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- History and Political Education -related games which make learning History and Political Education interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary History and Political Education, Learner’s Book Senior 3, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 3 History and Political Education syllabus. The authors are experts in History and Political Education, and are classroom teachers, who have taught History and Political Education for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
UGX 25,000Original price was: UGX 25,000.UGX 20,000Current price is: UGX 20,000. -
General Science, Learner’s Book senior 3
UGX 20,000Longhorn Secondary General Science, Learner’s Book senior 3, is a new course Learner-Instruction Book that has been recommended by the Ministry of Education and Sports, for use in Uganda Secondary Schools. It fulfils all the goals and targets of the Lower Secondary General Science Curriculum in Uganda, which the learner must follow for effective execution of the course content.
Longhorn Secondary General Science, Learner’s Book senior 3, is unique, in that it allows a thorough implementation of all course content by the learners, while using all learner-centered teaching methodologies, which in turn, promote the participation for all, in learning General Science through:
- Well-organised topics which are sequentially presented, to allow transition from one concept to the next.
- Demonstrative integration of text and illustrations to boost understanding.
- Numerous indoor and outdoor activities which are investigative.
- Experimentation and demonstration using locally available materials.
- Work-to-do exercises within the activities and at the end.
- General Science -related games which make learning General Science interesting, and enjoyable for all.
- A user-friendly approach which is well-centred on the learner’s own environment for easier understanding of the concepts.
Longhorn Secondary General Science, Learner’s Book Senior 3, is detailed and comprehensively covers all the Learning outcomes tabulated in the Senior 3 General Science syllabus. The authors are experts in General Science, and are classroom teachers, who have taught General Science for many years. They have brought their vast experience into play in this book.
Reviews
There are no reviews yet.